(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
soodeyecarejammu. Don't #wait to Get your eyes #tested

Book your Appointment today with

Don't #wait to Get your eyes #tested Book your Appointment today with DR. R.D. SOOD & DR. ROHAN SOOD 6 days OPD at Address: 67/6 Trikuta Nagar,Jammu Rehari Chungi, Jammu Contact:- 9086123946, 9796221495 Follow us on Facebook and Instagram Website: www.soodeyecare.in Whtsapp us on: http://bit.ly/2POqALJ #eyedoctor #regulareyecheckup #eyehealth #monsoonseason #eyecaretips #optometrist #jammu #reasi #akhnoor #rspura #surgeon

Share 0 0
meguko.ryan. 2019.7.23
*
まるで興味ない振りして貰ったらスタコラサッサε=ε=ε=ε=ε=ε=┌(; ̄◇ ̄)┘
*
#toypoodle
#s

2019.7.23 * まるで興味ない振りして貰ったらスタコラサッサε=ε=ε=ε=ε=ε=┌(; ̄◇ ̄)┘ * #toypoodle #silvertoypoodle #toypoodlelove #カリカリビスケット #wait #そんなのいらんし #うそぴょーん #わんこのいる暮らし #ぴのさん

Share 2 0
Advertisement
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});
len_ja_na. Princ mi je už ukradnutý. Ale ten kôň na ktorom príde nie 😁🤷‍♀️.
*
*

Princ mi je už ukradnutý. Ale ten kôň na ktorom príde nie 😁🤷‍♀️. * * * #photography #mylife #wait #healthylifestyle #beautifulgirl #spiritual #holiday #brunette #likeforlikes #gymgirl#

Share 15 0

Привет 👋 И как вы уже догадались,снова фотография с выставки 🤯 Знаю, что вы уже устали от подобных фотографий.Но,совсем скоро 🔜 будет много всего интересного ☑️Поэтому друзья ждите ♥️ Кстати,на этой фотографии я жду своей очереди 🐕🐩 Да,очередь была та ещё 🤪 Ну и кому интересно,это я Луна 🌙 #хаски #Луна #милота #собаки #выставка #красавица #чемпион #ждем #husky #Luna #cute #dogs #Exhibition #beauty #champion #wait #aziawinner2019 #huskyluna_kai

Share 5 0
thanhxuan_20090729. So hot🔥. I love you, My love❤️
#parksoyeon #soyeon #lovesoyeon #forev

So hot🔥. I love you, My love❤️ #parksoyeon #soyeon #lovesoyeon #forever #wait 🌻🌻🌻

Share 3 0
ritamocat. wait for girlfriend call back

#art #draw #drawing #nothing #casualsty

wait for girlfriend call back #art #draw #drawing #nothing #casualstyle #wait

Share 2 0
xyyag. It's mood too
Generally mood^^•
17102018 01.49a.m. @/retroasian anime:

It's mood too Generally mood^^• 17102018 01.49a.m. @/retroasian anime: kare kano

Share 2 1

Tazama makadirio ya Bajeti iliyopita Afrika mashariki kwa mwaka 2018/19 kisha utoe maoni unatarajia nini Bajeti kwa mwaka ujao 2019/20 kwa nchi yako! #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 27 1

Mfanyabiashara mmoja wa kihindi amefungwa kifungo cha maisha jela baada ya kuweka waraka feki kwenye choo cha ndege ya kampuni ya India-Jet Airways iliyokuwa ikisafiri kutoka New Delhi kuelekea Mumbai. Birju Salla alisema kuwa alitegemea kuwa ndege hiyo ingefunga safari zake na hivyo mpenzi wake anayefanyia kazi kampuni hiyo angelazimika kuacha kazi ya kuwahudumia wasafiri katika kampuni hiyo angeacha kazi na kuishi nae mjini Mumbai. Bwana Salla pia amepigwa faini ya rupia milioni 50 sawa na dola 720,725 #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 31 0

United wako tayari kuongeza £50m kwa ajili ya Wan-Bissaka.@a_bissaka (Mirror) Manchester United huenda watathmini upya nia yao ya kusaini mkataba na mlinzi wa Tottenham Danny Rose, mwenye umri wa miaka 28, baada ya mchezaji huyo wa safu ya nyuma ya England kukiri kuwa anaweza kuondoka katika kikosi cha Spurs msimu huu. #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 50 2

Nesi mmoja nchini Ujerumani amekutwa na hatia ya kuua wagonjwa 85 katika hospitali mbili kaskazin mwa Ujerumani na kupatiwa adhabu ya kifungo cha maisha jela. Jaji Sebastian Buehrmann ametaja vitendo vya mauaji vya nesi huyo Niels Högel "haviingii akilini." Högel, ambaye anatumikia vifungo vingine viwili vya maisha jela kwa mauaji ya wagonjwa, alikuwa akidunga dozi kali za dawa za moyo kwa watu aliokuwa akiwahudumia baina ya mwaka 1999 na 2005. #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 43 1

Wakazi wa Maai Mahiu mjini Naivasha, Kaunti ya Nakuru nchini Kenya wamepigwa na bumbuwazi baada ya mwanamke mmoja kuushona mdomo wa mtoto wake wa kiume anayesoma darasa la tano kwa sababu ya kushuka kimasomo.Gazeti la Daily Nation nchini Kenya limeripoti. Tukio hilo la Jumamosi liliwaacha majirani midomo wazi kwa kutoamini kilichotokea. Mkazi mmoja alisema mwanamke huyo anayefanya kazi kwenye saluni ya urembo, aliumizwa na maendeleo ya mtoto wake shuleni yaliyokuwa yameshuka. Katika kumuadhibu, Mama alimshona mdomo mtoto wake kwa kutumia sindano kabla ya majirani kuingilia kati. Kamishna msaidizi wa Kaunti hiyo, Julius Nyaga, ameiambia Daily Nation kuwa taarifa za tukio hilo zimemfikia. #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 54 2
newsdayswahili. Waislamu nchini Rwanda na Uganda hii leo (Jumanne Juni 4, 2019) wanash

Waislamu nchini Rwanda na Uganda hii leo (Jumanne Juni 4, 2019) wanasherehekea sikukuu ya Eid ul-Fitr na kuadhimisha kukamilika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Jijini Kigali, waumini wa dini hiyo wakiongozwa na Mufti wao Sheikh Salim Hitimana wanatarajiwa kusali sala ya Eid katika viwanja vya Nyamirambo. Mufti huyo alitoa tangazo la Eid nchini humo Jumatatu jioni, sawa na Uganda ambapo Baraza Kuu la Waislamu pia lilitoa tangazo kama hilo. Katika salamu zake za Eid, Mufti Hitimana amewanasihi waislamu kuendelea kutenda mema kama walivyokuwa wakifanya katika kipindi chote cha Ramadhan. #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 87 1
Advertisement
(adsbygoogle = window.adsbygoogle || []).push({});

Kumekuwa na hisia za muda mrefu miongoni mwa jamii na watu mbali mbali duniani kwamba siku ya Ijumaa ni siku ya Furaha. Baadhi wamediriki hata kuiita ''Furahi day'' Hii hutokana na fikra za watu kwamba Ijumaa ni siku ya mwisho ya kazi katika ofisi nyingi hususani za serikali na hivyo kunakuwa na hisia kwamba baada ya Ijumaa wengi huenda mapumzikoni siku inayofuata yaani Jumamosi na pia Jumapili. #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 72 3

Mchezaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Sergio Ramos mwenye umri wa miaka 33 amemwomba bosi wa Real Madrid Florentino Perez kumruhusu aikache klabu yake na kwenda China. #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 73 1

Kiungo mkabaji wa Chelsea N'Golo Kante, 28, anaweza kuukosa mchezo wa fanali wa Europa dhidi ya Arsenal baada ya kupata majeraha ya goti akiwa mazoezini. (Guardian) #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 68 2

Watafiti wanasema wamegundua vyanzo vikuu vya matumiazi ya 'kasi ya ajabu' ya kemikali sumu zinazoharibu tabaka ya ozoni. Kemikali za CFC-11 zilikuwa maarufu kwa matumizi ya ujenzi kwa kuzipa joto nyumba hususani kwenye maeneo ya baridi lakini kukapitishwa makubaliano ya kusitisha matumizi hayo ifikapo mwaka 2010. Hata hivyo, wanasayansi wamekuwa wakishuhudia kuzorota kwa kasi ya kusitisha ya kemikali hiyo katika kipindi cha miaka sita iliyopita. #love #life #crazy #future #best #tanzania #followforfollowback #followme #gucci #music #fashion #london #nigeria #southafrica #cannada #k #lifestyle #likeforfollow #like4likes #new #video #dance #newyork #beautiful #world #time #wait #verttherapper #newsdayswahili

Share 80 5